Quran with Swahili translation - Surah An-Naml ayat 78 - النَّمل - Page - Juz 20
﴿إِنَّ رَبَّكَ يَقۡضِي بَيۡنَهُم بِحُكۡمِهِۦۚ وَهُوَ ٱلۡعَزِيزُ ٱلۡعَلِيمُ ﴾
[النَّمل: 78]
﴿إن ربك يقضي بينهم بحكمه وهو العزيز العليم﴾ [النَّمل: 78]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika Mola wako Anahukumu baina ya wanaotafautiana, miongoni mwa Wana wa Isrāīl na wasiokuwa wao, kwa uamuzi wake kati yao. Akamlipiza kwa kumtesa mtenda makosa na kumlipa mema mtenda wema. Na Yeye Ndiye Mwenye nguvu Anayeshinda, uamuzi Wake haurudishwi, Aliye Mjuzi, kwa hivyo ukweli na urongo hazimchanganyikii |