Quran with Swahili translation - Surah Ya-Sin ayat 48 - يسٓ - Page - Juz 23
﴿وَيَقُولُونَ مَتَىٰ هَٰذَا ٱلۡوَعۡدُ إِن كُنتُمۡ صَٰدِقِينَ ﴾
[يسٓ: 48]
﴿ويقولون متى هذا الوعد إن كنتم صادقين﴾ [يسٓ: 48]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na wanasema hawa makafiri kwa njia ya kukanusha na kuwa na haraka, «HukuKufufuliwa kutakuwa lini, iwapo nyinyi ni wakweli katika hilo mnalolisema?» |