Quran with Swahili translation - Surah Ya-Sin ayat 49 - يسٓ - Page - Juz 23
﴿مَا يَنظُرُونَ إِلَّا صَيۡحَةٗ وَٰحِدَةٗ تَأۡخُذُهُمۡ وَهُمۡ يَخِصِّمُونَ ﴾
[يسٓ: 49]
﴿ما ينظرون إلا صيحة واحدة تأخذهم وهم يخصمون﴾ [يسٓ: 49]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hawangojei hawa washirikina wanaolifanyia haraka agizo la Mwenyezi Mungu kwao, isipokuwa mvuvio wa fazaa wakati Kiyama kitakaposimama, kitawachukua ghafla, na hali wao wanagombana katika mambo ya maisha yao |