Quran with Swahili translation - Surah Ya-Sin ayat 5 - يسٓ - Page - Juz 22
﴿تَنزِيلَ ٱلۡعَزِيزِ ٱلرَّحِيمِ ﴾
[يسٓ: 5]
﴿تنـزيل العزيز الرحيم﴾ [يسٓ: 5]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ameiteremsha Mwenyezi Mungu hii Qur’ani ikiwa ni teremsho kutoka kwa Aliye Mshindi, katika kuwaadhibu watu wa ukafiri na maasia, Mwenye kuwarehemu waja Wake waliotubia na wakatenda mema |