Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 138 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿وَبِٱلَّيۡلِۚ أَفَلَا تَعۡقِلُونَ ﴾
[الصَّافَات: 138]
﴿وبالليل أفلا تعقلون﴾ [الصَّافَات: 138]
Abdullah Muhammad Abu Bakr na pia mnazipitia katika kipindi cha usiku. Basi hamtii akilini, mkaogopa kisije kikawafika nyinyi kile kilichowafika wao |