Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 137 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿وَإِنَّكُمۡ لَتَمُرُّونَ عَلَيۡهِم مُّصۡبِحِينَ ﴾
[الصَّافَات: 137]
﴿وإنكم لتمرون عليهم مصبحين﴾ [الصَّافَات: 137]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na hakika yenu nyinyi, enyi watu wa Makkah mnazipitia katika safari zenu nyumba za watu wa Lūṭ na athari zao katika kipindi cha asubuhi |