Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 159 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿سُبۡحَٰنَ ٱللَّهِ عَمَّا يَصِفُونَ ﴾
[الصَّافَات: 159]
﴿سبحان الله عما يصفون﴾ [الصَّافَات: 159]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ametakasika Mwenyezi Mungu na kila lisilofaa asifike nalo miongoni mwa yale wanaomsifu nayo washirikina |