Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 160 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿إِلَّا عِبَادَ ٱللَّهِ ٱلۡمُخۡلَصِينَ ﴾
[الصَّافَات: 160]
﴿إلا عباد الله المخلصين﴾ [الصَّافَات: 160]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Lakini wale waja wa Mwenyezi Mungu wanaomtakasia katika kumuabudu hawamsifu isipokuwa kwa sifa zinazolingana na utukufu Wake, kutakasika ni Kwake |