Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 161 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿فَإِنَّكُمۡ وَمَا تَعۡبُدُونَ ﴾
[الصَّافَات: 161]
﴿فإنكم وما تعبدون﴾ [الصَّافَات: 161]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika yenu nyinyi, enyi wenye kumshirikisha Mwenyezi Mungu, na kile mnachokiabudu badala ya Mwenyezi Mungu miongoni mwa waungu |