Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 40 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿إِلَّا عِبَادَ ٱللَّهِ ٱلۡمُخۡلَصِينَ ﴾
[الصَّافَات: 40]
﴿إلا عباد الله المخلصين﴾ [الصَّافَات: 40]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Isipokuwa waja wa Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, waliomtakasia Ibada Yake, Akawatakasa na Akawahusu wao kwa rehema Yake, basi hao kwa hakika ni wenye kuokoka na adhabu yenye uchungu |