Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 78 - صٓ - Page - Juz 23
﴿وَإِنَّ عَلَيۡكَ لَعۡنَتِيٓ إِلَىٰ يَوۡمِ ٱلدِّينِ ﴾
[صٓ: 78]
﴿وإن عليك لعنتي إلى يوم الدين﴾ [صٓ: 78]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na huko kukufukuza kwangu na kukuepusha na mimi kutaendelea mpaka Siku ya Malipo na Hesabu.» |