Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 77 - صٓ - Page - Juz 23
﴿قَالَ فَٱخۡرُجۡ مِنۡهَا فَإِنَّكَ رَجِيمٞ ﴾
[صٓ: 77]
﴿قال فاخرج منها فإنك رجيم﴾ [صٓ: 77]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mwenyezi Mungu Akamwambia, «Basi toka peponi! Wewe, kwa neno lako hilo, umefukuzwa, umeepushwa na kulaaniwa |