Quran with Swahili translation - Surah Fussilat ayat 3 - فُصِّلَت - Page - Juz 24
﴿كِتَٰبٞ فُصِّلَتۡ ءَايَٰتُهُۥ قُرۡءَانًا عَرَبِيّٗا لِّقَوۡمٖ يَعۡلَمُونَ ﴾
[فُصِّلَت: 3]
﴿كتاب فصلت آياته قرآنا عربيا لقوم يعلمون﴾ [فُصِّلَت: 3]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ni Kitabu kilichobainishwa aya zake ubainifu uliotimia, na yakafafanuliwa maana yake na hukumu zake, ikiwa ni Qur’ani ya Kiarabu iliyofanywa nyepesi kuielewa kwa watu wanaoijua lugha ya Kiarabu |