×

Kitoacho khabari njema, na chenye kuonya. Lakini wengi katika wao wamepuuza; kwa 41:4 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Fussilat ⮕ (41:4) ayat 4 in Swahili

41:4 Surah Fussilat ayat 4 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Fussilat ayat 4 - فُصِّلَت - Page - Juz 24

﴿بَشِيرٗا وَنَذِيرٗا فَأَعۡرَضَ أَكۡثَرُهُمۡ فَهُمۡ لَا يَسۡمَعُونَ ﴾
[فُصِّلَت: 4]

Kitoacho khabari njema, na chenye kuonya. Lakini wengi katika wao wamepuuza; kwa hivyo hawasikii

❮ Previous Next ❯

ترجمة: بشيرا ونذيرا فأعرض أكثرهم فهم لا يسمعون, باللغة السواحيلية

﴿بشيرا ونذيرا فأعرض أكثرهم فهم لا يسمعون﴾ [فُصِّلَت: 4]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hali ya kuwa ni yenye kubashiri malipo ya haraka na ya baadaye kwa anayeiamini na akafanya matendo yanayolingana nayo, na ni yenye kuonya adhabu ya haraka na ya badaye kwa anayeikanusha. Hivyo basi wengi wa watu waliipa mgongo wakawa hawaisikii kusikia kwa kukubali na kuitikia
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek