Quran with Swahili translation - Surah Adh-Dhariyat ayat 11 - الذَّاريَات - Page - Juz 26
﴿ٱلَّذِينَ هُمۡ فِي غَمۡرَةٖ سَاهُونَ ﴾
[الذَّاريَات: 11]
﴿الذين هم في غمرة ساهون﴾ [الذَّاريَات: 11]
Abdullah Muhammad Abu Bakr waliomo ndani ya dimbwi la ukafiri na upotevu hali ya kuwa wameghafilika na kujikita kwenye ubatilifu wao |