Quran with Swahili translation - Surah Adh-Dhariyat ayat 18 - الذَّاريَات - Page - Juz 26
﴿وَبِٱلۡأَسۡحَارِ هُمۡ يَسۡتَغۡفِرُونَ ﴾
[الذَّاريَات: 18]
﴿وبالأسحار هم يستغفرون﴾ [الذَّاريَات: 18]
Abdullah Muhammad Abu Bakr na katika nyakati za mwisho wa usiku, kabla ya alfajiri kwa muda mchache, walikuwa wakimuomba Mwenyezi Mungu msamaha wa dhambi zao |