Quran with Swahili translation - Surah AT-Tur ayat 13 - الطُّور - Page - Juz 27
﴿يَوۡمَ يُدَعُّونَ إِلَىٰ نَارِ جَهَنَّمَ دَعًّا ﴾
[الطُّور: 13]
﴿يوم يدعون إلى نار جهنم دعا﴾ [الطُّور: 13]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Siku ya kusukumwa hawa wakanushaji msukumo wa nguvu wenye kuwadhalilisha hadi kwenye Moto wa Jahanamu |