×

Au wanayo ilimu ya ghaibu, nao wameandika 52:41 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah AT-Tur ⮕ (52:41) ayat 41 in Swahili

52:41 Surah AT-Tur ayat 41 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah AT-Tur ayat 41 - الطُّور - Page - Juz 27

﴿أَمۡ عِندَهُمُ ٱلۡغَيۡبُ فَهُمۡ يَكۡتُبُونَ ﴾
[الطُّور: 41]

Au wanayo ilimu ya ghaibu, nao wameandika

❮ Previous Next ❯

ترجمة: أم عندهم الغيب فهم يكتبون, باللغة السواحيلية

﴿أم عندهم الغيب فهم يكتبون﴾ [الطُّور: 41]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Au je wao wana ujuzi wa ghaibu wakawa wanawaandikia watu na kuwapa habari yake? Mambo si hivyo, kwani hakika ya mambo ni kwamba hakuna anayejua ghaibu iliyo mbinguni na ardhini isipokuwa Mwenyezi Mungu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek