Quran with Swahili translation - Surah AT-Tur ayat 40 - الطُّور - Page - Juz 27
﴿أَمۡ تَسۡـَٔلُهُمۡ أَجۡرٗا فَهُم مِّن مَّغۡرَمٖ مُّثۡقَلُونَ ﴾
[الطُّور: 40]
﴿أم تسألهم أجرا فهم من مغرم مثقلون﴾ [الطُّور: 40]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Au je unawataka, ewe Mtume, hawa washirikina wakupatie malipo ya kuwafikishia Ujumbe, wakawa wao wana tabu na dhiki ya kujilazimisha malipo unayoyataka kutoka kwao |