Quran with Swahili translation - Surah AT-Tur ayat 42 - الطُّور - Page - Juz 27
﴿أَمۡ يُرِيدُونَ كَيۡدٗاۖ فَٱلَّذِينَ كَفَرُواْ هُمُ ٱلۡمَكِيدُونَ ﴾
[الطُّور: 42]
﴿أم يريدون كيدا فالذين كفروا هم المكيدون﴾ [الطُّور: 42]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Bali wao wanataka kumfanyia vitimbi Mtume wa Mwenyezi Mungu na Waumini. Basi hao makafiri, vitimbi vyao na njama zao vitawarudia wao wenyewe |