Quran with Swahili translation - Surah An-Najm ayat 24 - النَّجم - Page - Juz 27
﴿أَمۡ لِلۡإِنسَٰنِ مَا تَمَنَّىٰ ﴾
[النَّجم: 24]
﴿أم للإنسان ما تمنى﴾ [النَّجم: 24]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Binadamu hatapata kile anachokitamani cha kuwa waabudiwa hawa au wasiokuwa hawa, katika vitu vinavyotamaniwa na nafsi yake, watamuombea |