Quran with Swahili translation - Surah Al-Waqi‘ah ayat 46 - الوَاقِعة - Page - Juz 27
﴿وَكَانُواْ يُصِرُّونَ عَلَى ٱلۡحِنثِ ٱلۡعَظِيمِ ﴾
[الوَاقِعة: 46]
﴿وكانوا يصرون على الحنث العظيم﴾ [الوَاقِعة: 46]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na walikuwa wamesimama wima katika kumkanusha Mwenyezi Mungu na kumshirikisha na kumuasi, na hawakuwa na nia ya kutubia kwa hayo |