Quran with Swahili translation - Surah Al-Waqi‘ah ayat 45 - الوَاقِعة - Page - Juz 27
﴿إِنَّهُمۡ كَانُواْ قَبۡلَ ذَٰلِكَ مُتۡرَفِينَ ﴾
[الوَاقِعة: 45]
﴿إنهم كانوا قبل ذلك مترفين﴾ [الوَاقِعة: 45]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kwani wao walikuwa duniani wakijistarehesha kwa vitu vya haramu wakijiepusha na yale ambayo Mitume walikuja nayo |