Quran with Swahili translation - Surah As-saff ayat 1 - الصَّف - Page - Juz 28
﴿سَبَّحَ لِلَّهِ مَا فِي ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَمَا فِي ٱلۡأَرۡضِۖ وَهُوَ ٱلۡعَزِيزُ ٱلۡحَكِيمُ ﴾
[الصَّف: 1]
﴿سبح لله ما في السموات وما في الأرض وهو العزيز الحكيم﴾ [الصَّف: 1]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Vimemtakasa Mwenyezi Mungu na kumwepusha na kila kisichonasibiana na Yeye vyote vilivyoko mbinguni na vilivyoko ardhini, na Yeye ni Mshindi Ambaye hakuna mwenye kushindana na Yeye, Mwingi wa hekima katika maneno Yake na vitendo Vyake |