Quran with Swahili translation - Surah As-saff ayat 2 - الصَّف - Page - Juz 28
﴿يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ لِمَ تَقُولُونَ مَا لَا تَفۡعَلُونَ ﴾
[الصَّف: 2]
﴿ياأيها الذين آمنوا لم تقولون ما لا تفعلون﴾ [الصَّف: 2]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Enyi miliomuamini Mwenyezi Mungu na Mtume Wake na mkafuata Sheria Zake kivitendo! Kwa nini mnatoa ahadi au mnasema maneno bila kuyatekeleza? Haya ni makaripio kwa ambaye matendo yake yanaenda kinyume na maneno yake |