Quran with Swahili translation - Surah Al-Mulk ayat 25 - المُلك - Page - Juz 29
﴿وَيَقُولُونَ مَتَىٰ هَٰذَا ٱلۡوَعۡدُ إِن كُنتُمۡ صَٰدِقِينَ ﴾
[المُلك: 25]
﴿ويقولون متى هذا الوعد إن كنتم صادقين﴾ [المُلك: 25]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na wanasema hao makafiri, «Ni lini itakapohakikika ahadi hii, ewe Muhammad? Tupeni habari ya kipindi chake, enyi Waumini, iwapo nyinyi ni wakweli katika yale mnayoyadai.» |