Quran with Swahili translation - Surah Al-Mulk ayat 24 - المُلك - Page - Juz 29
﴿قُلۡ هُوَ ٱلَّذِي ذَرَأَكُمۡ فِي ٱلۡأَرۡضِ وَإِلَيۡهِ تُحۡشَرُونَ ﴾
[المُلك: 24]
﴿قل هو الذي ذرأكم في الأرض وإليه تحشرون﴾ [المُلك: 24]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Waambie, «Mwenyezi Mungu ndiye Aliyewaumba na Akawaeneza ardhini. Na Kwake Yeye, PekeYake, mtakusanywa baada ya huku kutengana, ili mhesabiwe na mlipwe.» |