Quran with Swahili translation - Surah Al-Ma‘arij ayat 23 - المَعَارج - Page - Juz 29
﴿ٱلَّذِينَ هُمۡ عَلَىٰ صَلَاتِهِمۡ دَآئِمُونَ ﴾
[المَعَارج: 23]
﴿الذين هم على صلاتهم دائمون﴾ [المَعَارج: 23]
Abdullah Muhammad Abu Bakr wanaochunga kuitekeleza katika nyakati zake zote, hakuna shughuli yoyote inayowashughulisha nayo |