Quran with Swahili translation - Surah Al-Muddaththir ayat 22 - المُدثر - Page - Juz 29
﴿ثُمَّ عَبَسَ وَبَسَرَ ﴾
[المُدثر: 22]
﴿ثم عبس وبسر﴾ [المُدثر: 22]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kisha akafinya uso wake na akazidi katika hali ile ya ukunjaji uso kwa kukosa hila za kufanya na kutopata ila yoyote ya kuitia dosari Qur’ani |