Quran with Swahili translation - Surah Al-Qiyamah ayat 19 - القِيَامة - Page - Juz 29
﴿ثُمَّ إِنَّ عَلَيۡنَا بَيَانَهُۥ ﴾
[القِيَامة: 19]
﴿ثم إن علينا بيانه﴾ [القِيَامة: 19]
Abdullah Muhammad Abu Bakr kisha ni juu yetu kukuelezea kilichokutatiza kukifahamu katika maana yake na hukumu zake |