Quran with Swahili translation - Surah Al-Insan ayat 18 - الإنسَان - Page - Juz 29
﴿عَيۡنٗا فِيهَا تُسَمَّىٰ سَلۡسَبِيلٗا ﴾
[الإنسَان: 18]
﴿عينا فيها تسمى سلسبيلا﴾ [الإنسَان: 18]
Abdullah Muhammad Abu Bakr watakunwa kutoka kwenye chemchemi iliyoko Peponi inayoitwa Salsabīl, kwa kuwa kinywaji chake kina usalama na kuwa kina ulaini na ladha ya kupendeza |