Quran with Swahili translation - Surah Al-Mursalat ayat 16 - المُرسَلات - Page - Juz 29
﴿أَلَمۡ نُهۡلِكِ ٱلۡأَوَّلِينَ ﴾
[المُرسَلات: 16]
﴿ألم نهلك الأولين﴾ [المُرسَلات: 16]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kwani hatukuawaangamiza walitangulia kati ya umma waliopita kwa kuwakanusha kwao Mitume, kama vile watu wa Nūḥ, ‘Ād na Thamūd |