Quran with Swahili translation - Surah Al-Mursalat ayat 17 - المُرسَلات - Page - Juz 29
﴿ثُمَّ نُتۡبِعُهُمُ ٱلۡأٓخِرِينَ ﴾
[المُرسَلات: 17]
﴿ثم نتبعهم الآخرين﴾ [المُرسَلات: 17]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kisha tutawakutanisha na wao wale waliokuja nyuma kati ya wale waliokuwa ni kama wao katika ukanushaji na uasi |