Quran with Swahili translation - Surah Al-Mursalat ayat 18 - المُرسَلات - Page - Juz 29
﴿كَذَٰلِكَ نَفۡعَلُ بِٱلۡمُجۡرِمِينَ ﴾
[المُرسَلات: 18]
﴿كذلك نفعل بالمجرمين﴾ [المُرسَلات: 18]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mfano wa uangamizaji huo mkali ndivyo tutakavyowafanya wahalifu kati ya makafiri wa Makkah, kwa kumkanusha kwao Mtume, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie |