Quran with Swahili translation - Surah Al-Mursalat ayat 19 - المُرسَلات - Page - Juz 29
﴿وَيۡلٞ يَوۡمَئِذٖ لِّلۡمُكَذِّبِينَ ﴾
[المُرسَلات: 19]
﴿ويل يومئذ للمكذبين﴾ [المُرسَلات: 19]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Maangamivu na adhabu kali Siku ya Kiyama kwa kila mwenye kuukanusha upweke wa Mwenyezi Mungu, unabii, kufufuliwa na kuhesabiwa |