Quran with Swahili translation - Surah Al-Mursalat ayat 20 - المُرسَلات - Page - Juz 29
﴿أَلَمۡ نَخۡلُقكُّم مِّن مَّآءٖ مَّهِينٖ ﴾
[المُرسَلات: 20]
﴿ألم نخلقكم من ماء مهين﴾ [المُرسَلات: 20]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Je kwani sisi hatukuwaumba nyinyi, enyi mkusanyiko wa makafiri, kutokana na maji dhaifu yaliyo matwevu nayo ni tone la manii |