Quran with Swahili translation - Surah Al-Mursalat ayat 35 - المُرسَلات - Page - Juz 29
﴿هَٰذَا يَوۡمُ لَا يَنطِقُونَ ﴾
[المُرسَلات: 35]
﴿هذا يوم لا ينطقون﴾ [المُرسَلات: 35]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hii ndiyo Siku ya Kiyama ambayo wakanushaji hawatatamka maneno ya kuwanufaisha |