Quran with Swahili translation - Surah Al-Mursalat ayat 36 - المُرسَلات - Page - Juz 29
﴿وَلَا يُؤۡذَنُ لَهُمۡ فَيَعۡتَذِرُونَ ﴾
[المُرسَلات: 36]
﴿ولا يؤذن لهم فيعتذرون﴾ [المُرسَلات: 36]
Abdullah Muhammad Abu Bakr wala hawatapewa idhini ya kusema wakatoa nyudhuru, kwa kuwa hawatakuwa na udhuru wowote |