Quran with Swahili translation - Surah Al-Mursalat ayat 47 - المُرسَلات - Page - Juz 29
﴿وَيۡلٞ يَوۡمَئِذٖ لِّلۡمُكَذِّبِينَ ﴾
[المُرسَلات: 47]
﴿ويل يومئذ للمكذبين﴾ [المُرسَلات: 47]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Maangamivu na adhabu kali Siku ya Kiyama kwa wenye kuikanusha Siku ya kuhesabiwa na kulipwa |