Quran with Swahili translation - Surah Al-Mursalat ayat 48 - المُرسَلات - Page - Juz 29
﴿وَإِذَا قِيلَ لَهُمُ ٱرۡكَعُواْ لَا يَرۡكَعُونَ ﴾
[المُرسَلات: 48]
﴿وإذا قيل لهم اركعوا لا يركعون﴾ [المُرسَلات: 48]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na wanapoambiwa hawa washirikina, «Mswalieni Mwenyezi Mungu na mnyenyekeeni,» hawanyenyekei wala hawaswali, bali wanaendelea kuonyesha kiburi chao |