Quran with Swahili translation - Surah An-Nazi‘at ayat 34 - النَّازعَات - Page - Juz 30
﴿فَإِذَا جَآءَتِ ٱلطَّآمَّةُ ٱلۡكُبۡرَىٰ ﴾
[النَّازعَات: 34]
﴿فإذا جاءت الطامة الكبرى﴾ [النَّازعَات: 34]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Pindi kitakapokuja Kiyama Kikubwa na balaa nzito, nao ni Mvuvio wa pili. Kipindi hicho zitaoneshwa kwa binadamu vitendo vyake vyote, za kheri na za shari |