Quran with Swahili translation - Surah ‘Abasa ayat 2 - عَبَسَ - Page - Juz 30
﴿أَن جَآءَهُ ٱلۡأَعۡمَىٰ ﴾
[عَبَسَ: 2]
﴿أن جاءه الأعمى﴾ [عَبَسَ: 2]
Abdullah Muhammad Abu Bakr na akapa nyongo kwa sababu ya kwamba Abdallah bin Ummi Maktum alimjilia akitaka aelekezwe. Na alikuwa Mtume, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, ameshughulika kuwalingania miamba wa Kikureshi katika Uislamu |