Quran with Swahili translation - Surah ‘Abasa ayat 3 - عَبَسَ - Page - Juz 30
﴿وَمَا يُدۡرِيكَ لَعَلَّهُۥ يَزَّكَّىٰٓ ﴾
[عَبَسَ: 3]
﴿وما يدريك لعله يزكى﴾ [عَبَسَ: 3]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ni kitu gani kinakufanya wewe ujue uhakika wa jambo lake? Kwani huenda ikawa, kwa kuuliza kwake, nafsi yake itatakasika na kusafika |