Quran with Swahili translation - Surah At-Takwir ayat 5 - التَّكوير - Page - Juz 30
﴿وَإِذَا ٱلۡوُحُوشُ حُشِرَتۡ ﴾
[التَّكوير: 5]
﴿وإذا الوحوش حشرت﴾ [التَّكوير: 5]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na pindi wanyama mwitu watakapokusanywa na kutangamanishwa, ili Mwenyezi Mungu Awape nafasi ya kulipizana wao kwa wao |