×

Surah At-Takwir in Swahili

Quran Swahili ⮕ Surah Takwir

Translation of the Meanings of Surah Takwir in Swahili - السواحيلية

The Quran in Swahili - Surah Takwir translated into Swahili, Surah At-Takwir in Swahili. We provide accurate translation of Surah Takwir in Swahili - السواحيلية, Verses 29 - Surah Number 81 - Page 586.

بسم الله الرحمن الرحيم

إِذَا الشَّمْسُ كُوِّرَتْ (1)
Jua litakapo kunjwa
وَإِذَا النُّجُومُ انكَدَرَتْ (2)
Na nyota zikazimwa
وَإِذَا الْجِبَالُ سُيِّرَتْ (3)
Na milima ikaondolewa
وَإِذَا الْعِشَارُ عُطِّلَتْ (4)
Na ngamia wenye mimba pevu watakapo achwa wasishughulikiwe
وَإِذَا الْوُحُوشُ حُشِرَتْ (5)
Na wanyama wa mwituni wakakusanywa
وَإِذَا الْبِحَارُ سُجِّرَتْ (6)
Na bahari zikawaka moto
وَإِذَا النُّفُوسُ زُوِّجَتْ (7)
Na nafsi zikaunganishwa
وَإِذَا الْمَوْءُودَةُ سُئِلَتْ (8)
Na msichana aliye zikwa hai atapo ulizwa
بِأَيِّ ذَنبٍ قُتِلَتْ (9)
Kwa kosa gani aliuliwa
وَإِذَا الصُّحُفُ نُشِرَتْ (10)
Na madaftari yatakapo enezwa
وَإِذَا السَّمَاءُ كُشِطَتْ (11)
Na mbingu itapo tanduliwa
وَإِذَا الْجَحِيمُ سُعِّرَتْ (12)
Na Jahannamu itapo chochewa
وَإِذَا الْجَنَّةُ أُزْلِفَتْ (13)
Na Pepo ikasogezwa
عَلِمَتْ نَفْسٌ مَّا أَحْضَرَتْ (14)
Kila nafsi itajua ilicho kihudhurisha
فَلَا أُقْسِمُ بِالْخُنَّسِ (15)
Naapa kwa nyota zinapo rejea nyuma
الْجَوَارِ الْكُنَّسِ (16)
Zinazo kwenda, kisha zikajificha
وَاللَّيْلِ إِذَا عَسْعَسَ (17)
Na kwa usiku unapo pungua
وَالصُّبْحِ إِذَا تَنَفَّسَ (18)
Na kwa asubuhi inapo pambazuka
إِنَّهُ لَقَوْلُ رَسُولٍ كَرِيمٍ (19)
Kwamba hakika bila ya shaka hii ni kauli ya Mjumbe mtukufu
ذِي قُوَّةٍ عِندَ ذِي الْعَرْشِ مَكِينٍ (20)
Mwenye nguvu na mwenye cheo kwa huyo Mwenye Kiti cha Enzi
مُّطَاعٍ ثَمَّ أَمِينٍ (21)
Anaye t'iiwa, tena muaminifu
وَمَا صَاحِبُكُم بِمَجْنُونٍ (22)
Na wala huyu mwenzenu hana wazimu
وَلَقَدْ رَآهُ بِالْأُفُقِ الْمُبِينِ (23)
Na hakika yeye alimwona kwenye upeo wa macho ulio safi
وَمَا هُوَ عَلَى الْغَيْبِ بِضَنِينٍ (24)
Wala yeye si bakhili kwa mambo ya ghaibu
وَمَا هُوَ بِقَوْلِ شَيْطَانٍ رَّجِيمٍ (25)
Wala hii si kauli ya Shetani maluuni
فَأَيْنَ تَذْهَبُونَ (26)
Basi mnakwenda wapi
إِنْ هُوَ إِلَّا ذِكْرٌ لِّلْعَالَمِينَ (27)
Haikuwa hii ila ni ukumbusho kwa walimwengu wote
لِمَن شَاءَ مِنكُمْ أَن يَسْتَقِيمَ (28)
Kwa yule miongoni mwenu anaye taka kwenda sawa
وَمَا تَشَاءُونَ إِلَّا أَن يَشَاءَ اللَّهُ رَبُّ الْعَالَمِينَ (29)
Wala nyinyi hamtataka isipo kuwa atake Mwenyezi Mungu Mola Mlezi wa walimwengu wote
❮ Previous Next ❯

Surahs from Quran :

1- Fatiha2- Baqarah
3- Al Imran4- Nisa
5- Maidah6- Anam
7- Araf8- Anfal
9- Tawbah10- Yunus
11- Hud12- Yusuf
13- Raad14- Ibrahim
15- Hijr16- Nahl
17- Al Isra18- Kahf
19- Maryam20- TaHa
21- Anbiya22- Hajj
23- Muminun24- An Nur
25- Furqan26- Shuara
27- Naml28- Qasas
29- Ankabut30- Rum
31- Luqman32- Sajdah
33- Ahzab34- Saba
35- Fatir36- Yasin
37- Assaaffat38- Sad
39- Zumar40- Ghafir
41- Fussilat42- shura
43- Zukhruf44- Ad Dukhaan
45- Jathiyah46- Ahqaf
47- Muhammad48- Al Fath
49- Hujurat50- Qaf
51- zariyat52- Tur
53- Najm54- Al Qamar
55- Rahman56- Waqiah
57- Hadid58- Mujadilah
59- Al Hashr60- Mumtahina
61- Saff62- Jumuah
63- Munafiqun64- Taghabun
65- Talaq66- Tahrim
67- Mulk68- Qalam
69- Al-Haqqah70- Maarij
71- Nuh72- Jinn
73- Muzammil74- Muddathir
75- Qiyamah76- Insan
77- Mursalat78- An Naba
79- Naziat80- Abasa
81- Takwir82- Infitar
83- Mutaffifin84- Inshiqaq
85- Buruj86- Tariq
87- Al Ala88- Ghashiya
89- Fajr90- Al Balad
91- Shams92- Lail
93- Duha94- Sharh
95- Tin96- Al Alaq
97- Qadr98- Bayyinah
99- Zalzalah100- Adiyat
101- Qariah102- Takathur
103- Al Asr104- Humazah
105- Al Fil106- Quraysh
107- Maun108- Kawthar
109- Kafirun110- Nasr
111- Masad112- Ikhlas
113- Falaq114- An Nas