Quran with Swahili translation - Surah At-Takwir ayat 8 - التَّكوير - Page - Juz 30
﴿وَإِذَا ٱلۡمَوۡءُۥدَةُ سُئِلَتۡ ﴾
[التَّكوير: 8]
﴿وإذا الموءودة سئلت﴾ [التَّكوير: 8]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na pindi mtoto wa kike aliyezikwa akiwa hai atakapoulizwa, Siku ya Kiyama, suala la kumbembeleza na kumkejeli aliyemzika |