Quran with Swahili translation - Surah Al-MuTaffifin ayat 4 - المُطَففين - Page - Juz 30
﴿أَلَا يَظُنُّ أُوْلَٰٓئِكَ أَنَّهُم مَّبۡعُوثُونَ ﴾
[المُطَففين: 4]
﴿ألا يظن أولئك أنهم مبعوثون﴾ [المُطَففين: 4]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi itakuwaje hali ya yule anayeiba na kupunja katika vipimo vyote hivyo, au yule anayeiba katika vipimo hivyo na huku awapunja watu vitu vyao? Hakika huyo yuwastahiki mateso zaidi kuliko wapunguzaji wa vipimo vya vibaba na mizani. Kwani hawaamini wale wapunjaji ya kwamba Mwenyezi Mungu Mtukufu ni Mwenye kuwafufua na kuwahesabu juu ya vitendo vyao |