Quran with Swahili translation - Surah Al-MuTaffifin ayat 9 - المُطَففين - Page - Juz 30
﴿كِتَٰبٞ مَّرۡقُومٞ ﴾
[المُطَففين: 9]
﴿كتاب مرقوم﴾ [المُطَففين: 9]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika hiyo itakuwa ni jela ya kudumu na adhabu iliyo na uchungu. Penye jela hiyo ni pale walipoandikiwa kuwa watakwenda. Wameandikiwa na imepitishwa. Hapana kitakachozidishwa wala kupunguzwa |