Quran with Swahili translation - Surah AT-Tariq ayat 5 - الطَّارق - Page - Juz 30
﴿فَلۡيَنظُرِ ٱلۡإِنسَٰنُ مِمَّ خُلِقَ ﴾
[الطَّارق: 5]
﴿فلينظر الإنسان مم خلق﴾ [الطَّارق: 5]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi aangalie binadamu mwenye kukanusha kufufuliwa ameumbwa kwa kitu gani? Ili ajue kuwa kurudisha umbo lake mara ya pili si vigumu kama kuumbwa mara ya kwanza |