Quran with Swahili translation - Surah AT-Tariq ayat 4 - الطَّارق - Page - Juz 30
﴿إِن كُلُّ نَفۡسٖ لَّمَّا عَلَيۡهَا حَافِظٞ ﴾
[الطَّارق: 4]
﴿إن كل نفس لما عليها حافظ﴾ [الطَّارق: 4]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakuna nafsi yoyote isipokuwa amewakilishwa kwayo Malaika mwenye kuchunguza na kusjili amali zake ili ihesabiwe Siku ya Kiyama |